Karibu tellAdvert
tellAdvert ni mtandao wa kijamii kwaajili ya kusaidia ukuzaji wa biashara (social commerce), unao wawezesha wafanyabiashara kuuza bidhaa zao kwa haraka Zaidi.
About APP
Karibu katika mustakabali mpya wa uuzaji na ununuaji kwa kutumia Artificial Intelligence kupitia Application ya tellAdvert.
tellAdvert ni mtandao wa kijamii wa kibiashara yaani social commerce, unao tumia teknolojia ya Artificial Intelligence ili kufanya uuzaji na ununuaji kuwa rahisi, haraka na wa gharama nafuu. Mtandao huu ni wa kipekee na wa kwanza Afrika.
tellAdvert hairahisishi tu biashara bali pia husaidia kujengo uhusiano mzuri kati ya mteja na muuzaji kupitia socialization. tellAdvert ni sehemu ambapo biashara hukutana na jamii.
Kwa mwaka 2022 tellAdvert ilishinda tunzo iliyo tolewa na baraza la vyuo vikuu la Afrika Mashariki kama mtandao wenye ubunifu bora wa kidijitali wa kuasaidia ukuaji wa biashara kwa nchi za Afrika Mashariki yaani Digital Innovation for Business Resilience in East Africa Community.
Ili kuboresha Zaidi ubunifu wa mtandao huu, kwa zaidi ya miezi tisa waanzilishi wa mtandao huu wamekuwa wakipikwa na Shirika lisilo la kiserikali la ujerumani lijulikanalo kama Wester Welle.
Baada ya maboresho ya teknolojia na utendaji kazi wa Application ya tellAdvert sasa mtandao uko tayari kuingia sokoni. Kwa kuanza App itakuwa tayari kwa watu 5,000 tu. Ili kuwa miongoni mwao jiunge kwa kujaza form kupitia www.telladvert.com na utataarifiwa punde App ikiwa tayari.tellAdvert, nunua, uza, tengamana.
Form Ya Usajili
Jihakikishie kuwa wa kwanza kupata App ya tellAdvert pale itakapo kuwa tayari kwa kuja form hii.
